Recent content by Rumen

  1. R

    Kilimo picha: Huu ugonjwa dawa yake ni nini?

    Pole sana mkuu,hao ni wadudu wanaitwa MEALBUGS tumia viuadudu kati ya DuduAll au dudumectin au spidex au bamic..Rudia kila baada ya siku saba hadi waishe shmbani.
  2. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukulu umeme umerudi tangu ijumaa,12/4/2019,sory kwa kuchelewa kuleta mrejesho mapema
  3. R

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mita yangu imeungua ni wiki ya pili sasa,baada ya kutoa taarifa mafundi walifika na kubaini mita imeungua,wakasema itabadilishwa nyingine wiki mbili zimekata sasa siwaoni tena,kwani inachukua mda gani kubadilishiwa mita iliyoharibika? mana tupo watatu wenye shida kama hiyo...nipo tanga mjini
Back
Top Bottom