Mpumbavu,mjinga,mpuuzi ni baadhi ya maneno ambayo Mwalimu JK Nyerere alikuwa akiyatumia kwenye hotuba zake nyingi nashangaa polisi kumkamata Sugu kisa kaandika facebook ambapo walioona hawafiki watu 5,000.
Mbona yule mbunge wa CCM aliyetukana ---- YOU mlimkalia kimya wakati watanzania wote...