Recent content by Rumanyika Donatus

  1. Rumanyika Donatus

    Utitiri wa vitambulisho Tanzania

    Kwanza napenda kuipongeza Wizara ya Tamisemi kwa kuja na mfumo mpya wa kadi za kieletroniki katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi. Sambamba na pongezi hizi bado kuna changamoto ambazo ni mzigo kwa raia. 1. Ili upate kadi hiyo utalazima kuwa na aidha kadi ya mpiga kura, pasi ya kusafiria...
  2. Rumanyika Donatus

    KERO TRA geti la Makuyuni Arusha ni tatizo, madereva wa malori tunapata tabu

    Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine. Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
  3. Rumanyika Donatus

    KERO Upotevu wa maji kata za Kichanga na Tungi Manispaaa ya Morogoro imekuwa ni kero na uharibufu wa miundombinu

    Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji. Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji. Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
  4. Rumanyika Donatus

    Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Jishughulishe na michezo, kazi na ukitoka huko chali umechoka unapumzika asubuhi unaendelea na mishe zako.
Back
Top Bottom