Recent content by Rule of LAW

  1. R

    Tahadhari tena kwa walioomba kazi vision africa

    peleka hizo namba zake police ni raisi sana kujua ni nani na yuko wapi kwa kutumia kitengo cha forensic science
  2. R

    Ajira wizara ya elimu.

    Ndani ya mwezi huu kuanzia sasa kama wewe ni mwalimu jiandae kwenda uliko pangiawa vijijini hakuna cha mjini mwaka huu.
  3. R

    Nafasi za kazi tra.

    visit there website every day.
  4. R

    Katiba mpya iwe hivi

    MAONI YA KATIBA MPYA Tanzania ifuate muundo wa Katiba iliyoandikwa ya Ki-sekula na inayofuata mfumo wademokrasia. (A secular written and democratic constitution). Katika muundo wa Ki-sekula, serikali na dini ni vitu visivyo changamana. Yaani serikali haipaswi kushabikia dini moja au...
Back
Top Bottom