Recent content by Ruge CYM

  1. R

    Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

    Watenda kazi walewale labda kama unataka kubadiri jina na jengo. Labda Hoja ya msingi ungesema labda sheria flani na flani ibadrishwe ili kuboresha utendaji wake. Sasa sijui ndugu yangu nini kilifanyika hiyo nchi kiasi kwamba ikatuzidi akili.
  2. R

    Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

    Kati ya uhuru ambao umepitiliza ni namna mitandao inavoriport masuala ya shughuri za police wakiwa kazini, jamani hivi vyombo vya ulinzi wanafanya kazi katika mazingira magumu saaana, nchi hisipokuwa makini tunaweza kuwa na Trespassers wengi na tujue uharifu mwingi sana unaanzaga na connections...
  3. R

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Nafikiri zitto ni mwanasiasa anaheshimika sana, ameshikiria usukani nyuma yake wakiwepo wanachama na wasiowanachama wake wanaomfuatria kwa ukaribu. Hili tusipoteze imani kwake "Kama kweli ni Mwenyewe binafai alipost" aje adharani atoe taarifa ya Kukanusha kwa maana either atwambia yeye ana...
  4. R

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Zitto naamini siku zote ni mwanasiasa makini, sipendi nijadiri sana kwa sabbu sijui nini chanzo hadi ukatoa taarifa hiyo, ila kimtizamo badiri gia ya gari lako maana unaswaga tu kila kinachokuja mbele yako, ikiwezekana ata njia badiri tu maana kuna siku utaambiwa gari lako limeibwa utakimbilia...
  5. R

    Hawa ni Mawaziri ambao kwa mwaka 2020 Magufuli unatakiwa uachane nao msaada wao ni mdogo kwa Taifa kwa sasa

    Mtoa mada una hangover ya sikukuu. Sioni justifications kwenye post yako. Subiria Mwaka mpya upite, bila shaka utarudi kivingine.
Back
Top Bottom