Recent content by Rugaiyulula

 1. R

  Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

  Yes kulingana na kutokuelimika kwako na kujua vema ulimwengu wa sasa ulivyo.
 2. R

  Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

  Kesho yako is around the corner. Umeishasahau kada mtiifu HAMZA???????????????????????????????? Consult the Big Man Sabaya and others.
 3. R

  Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

  Ukifungua kezi za kubambikiza ambazo hata Rais anajua wanafanya na amewaonya kwa ujinga huo, lazima zipingwe mahakamani. Labda kama ndiyo sera yako na chama chako husika!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 4. R

  Serikali yamwekea pingamizi Mbowe kesi aliyofungua dhidi ya DPP, AG na IGP

  Wenye shida ni wale wanaopinga kushitakiwa kwa kukamata watu na kuwaweka ndani bila kufuata sheria za nchi yaani waweka pingamizi aka serikali.
 5. R

  Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

  Inawezek Inawezekana kabisa kwa kufutiwa mashitaka na ofisi ya DPP ambaye ni mteule wa Rais.
 6. R

  Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

  Thank God you have never ever under police custody particularly when you face political oriented criminal charges
 7. R

  Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

  Kisheria ni sawa ikiwa maelezo yao yalichukuliwa polisi bila hiari yao au bila kuwa na mwanasheria wao hayawezi kukubaliwa mahakamani
 8. R

  KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

  Very interesting story yaani shs 600,00.00 (Laki sita tuu) za TZ ndizo zinawezesha ugaidi!!!!!!!!!!!!!! Only in TZ :oops::oops::oops::oops:
 9. R

  Urithi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

  sawa kabisa ila kumbuka kuwa mtu awaye yote akifa husifiwa pia hata kama alikuwa na uovu wa wazi wazi kabisa. Ni hulka njema ya kibinadamu. Maiti haidhiwakiwi ni mwiko.
 10. R

  IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

  Hakika haina maana nimeishachanjwa na nimeweka chuma pale sijaona lolote lihusulo magetism characteristics.
 11. R

  IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

  Kimtazamo kuna tatizo mahala fulani maana tumeshuhudia mawaziri wengi tu wakitoa amri hadharani na watu wanakamatwa na kuwekwa ndani bila kusubiri kupewa barua za maelekezo rasmi. Nahisi Kamanda ana jambo lake, tusubiri muda utaongea.
 12. R

  Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

  Elimu Elimu Elimu X 10000000000000000000
 13. R

  Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

  Bwana na Hon. Polepole elimu yako isikutoroke ukiiona kwa macho yako. Kutuhumiwa kwa ugaidi siyo kwamba wewe ni gaidi. Tuhuma siyo hukumu!!!!!!!!!!! Wangapi mliwaonea enzi zako na mwendazake leo hii wameachiwa kwa kesi zao kufutwa baada ya kuona hazina mashiko. Polepole enzi na nyakati zako...
 14. R

  Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

  Anafilisiwa na jela juu ikibidi hali mradi apatikane wa kumlisha akiwa jela.
 15. R

  Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

  Ref to French President as supporting example.
Top Bottom