Mimi nilinunua simu ya mkononi dukani nilitumia kwa miaka kadhaa. Baadae nilipatwa na shida na kumuuzia mtu mwingine je ninahaki ya kufanya hivyo. Kwa kumuuzia Mali yangu halali iliyotokana na jasho langu halali nitakuwa na kosa? Pia kiwanja, Nyumba, Gari, nk nikiuza nitakuwa na kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.