Recent content by rsinangila

  1. R

    Kwanini Mkurugenzi wa jiji la Mwanza unachelewa kulipa likizo za Watumishi bila sababu za msingi?

    Nimejulishwa mh. Rais SAMIA SULUHU atakuwa na ziara mkoa wa Mwanza kuanzia kesho . Nakuomba Mungu nikipata chance ya kuwepo na nafasi ya kumuuliza hili huyu kiongozi nikamuuliza. Maana kwa nini mpaka leo hii malipo haya ya likizo za watumishi bado kulipwa?? Toka june 2023 mpka leo Januari 2024...
  2. R

    Kwanini Mkurugenzi wa jiji la Mwanza unachelewa kulipa likizo za Watumishi bila sababu za msingi?

    Ndugu zangu, Kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya pesa za nauli ya likizo za watumishi wa umma kwa jiji la Mwanza. Kwani malipo huchukua hata miaka baada ya mtumishi kuomba pesa hio ya likizo. Kwa mfano katika jiji hili la Mwanza watumishi hususan walimu waliomba likizo kwa mwaka jana mwezi...
  3. R

    DOKEZO Ubadhirifu unaofanyika kwenye shule zenye vituo vya elimu maalumu jiji la Mwanza

    Hbr za asbh ndg zangu wanaJF, Naomba kuingia kwenye mada moja kwa moja kuhusu hili suala la vituo maalum mkoa wa Mwanza hususan mwanza jiji. Ndg wanaJF vituo hivi vya elimu maalumu kwa Mwanza jiji limekuwa ni vituo haswa vya walimu wakuu. Ikumbukwe kuwa kila mwezi Serikali hutuma pesa kwa...
Back
Top Bottom