Siunawaona hata walimu tz? Mtu anakuwa na likizo yake ya mwaka anaambiwa hakuna kwenda likizo Baki kufundisha,anahamishwa pesa ya uhamisho hapati,anaambiwa achangie mwenge anachanga, madaraja kupanda imekuwa kudra sio haki tena,nyongeza za mishahara pia hakuna.NI UNYONYAJI NA UKANDAMIZAJI TU ILI...