Recent content by rrm72

  1. rrm72

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Huoni hapo TAKUKURU waliona tuhuma hazina ushahidi wa kutosha kumtia hatiani. Maana polisi wala TAKUKURU hawakumfungulia mashtaka, wewe unawezaje kulishika jambo hilo kuwa ni la kweli. Acheni kushika uzushi unaokusudia kumchafua mtu. Uzuri uongo haujawahi kuushinda ukweli, huwa ni suala la muda tu.
  2. rrm72

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Mtoa Mada ni mwanafunzi wa SUA huko ndaki ya Sayansi asilia na tumizi. Lakini ni mwanafunzi dhaifu sana kiakili, na kwa vyovyote yeye ni muathirik wa udhaifu wake sasa analalama mtaani. Nasema ni mwanafunzi dhaifu kwa sababu hata uandishi wake ni mbovu tena kwa kiswahili, Kwa kiingereza...
  3. rrm72

    Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

    hUYU MAMA HANA ALICHOWAZA HAPO, ALIKUTA MIKATABA ILISHASAINIWA NA PESA ILISHALIPWA HAKUWA NA JINGINE ZAIDI YA KUSUBIRI AZIPOKEE TU. JPM KICHWA SANA
  4. rrm72

    Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

    Sikubaliani na kuondolewa wapinzani bungeni, ila pia sikubaliani hata kidogo kusema marekani ni rafiki zetu wa kweli. Hawanaga rafiki wa kweli wa kudumu wana agenda zao za kudumu kwa ajili ya nchi yao
  5. rrm72

    Ni hasara kubwa kama Taifa kuvikosa vichwa hivi bungeni...

    Kwa kweli hii itakuwa ni hasara kubwa sana kama taifa. Niliwapenda sana kwenye kuibua hoja kwa ujasiri
  6. rrm72

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kubomolewa kwa jengo lenu kumesababishwa na ninyi wenyewe hasa pale mlipofanya UDOM ni ardhi ya waislamu wanaweza kufanyanya chochote bila hata kumshirikisha mtu yeyote. Na mazoea hayo yalichagizwa na utawala mzima wa selikali ya awamu ya nne iliyowapanga waislamu hapo UDOM kiasi wakajifanyia ni...
  7. rrm72

    Tundu Lissu atua Jijini London, Uingereza

    Uzuri anajua kuwa siku akitua terminal two dsm anaelekea segerea akaungane na mazwazwa wenzie. Hatutaki ujinga. Kwa lugha yake chafu tayari ni mtuhumiwa. Aje tu tumsweke lupango. Natamani angefanya kosa moja la uhaini akae segerea pasi na dhamana. Akae ndani indefinitely kama mashee wa uamsho.
  8. rrm72

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Watanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.
  9. rrm72

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    1. Watoto wake wamepata elimu bila malipo 2. Anapata dawa hospitalini bila mikwamo 3. Makazi yake yasiyo rasmi yanarasimishwa 4. Anauza korosho kwa bei ya juu
  10. rrm72

    Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma

    Kwa kweli kama jina la MKM halipo huu utabiri ni feki
  11. rrm72

    Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia(WB)

    Hata marekani wanakusanya nyingi sana lakini wana madeni makubwa tu. Kukopa serikalini ni jambo la kawaida sana. kubwa ni nini unafanyia hiyo mikopo. Kama kazi tunaiona, kopa tu baba, tusonge mbele. mwisho wanatusamehe kama walivyofanya kipindi cha mkapa.
  12. rrm72

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Bazungu balaa sana. eti haki za binadamu kufirana? Mungu atunusuru. Kagame kule rwanda amezuia na kufunga makanisa waidi ya 800, wazungu hawakuona hiyo ni kinyume na haki za binadamu badala yake wamemsifu na hata kwenda huko kufungua viwanda vya magari.
  13. rrm72

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Kwa hawa wazungu hata ukiua watu wako 1000 ukawahifadhi mashoga 10 wewe una haki za binadamu Na yule balozi wao aliyeondoka nae ni wa ruttyrutty nini????
Back
Top Bottom