Recent content by Rozzycass

  1. R

    RC Iringa: Kuna maafisa wanafokea wananchi, kama huna majibu ya maswali aliyokuuliza mwananchi usimfokee

    Mimi naomba kuuliza, hivi kuna sheria nchini inayowawajibisha viongozi na ahadi za uchaguzi wakishindwa kuzitekeleza, yan sheria inayowabana viongozi kwamba unapoahidi jambo wakati wa kampeni basi kisheria unatakiwa kuitimiza na ukishindwa kuna adhabu inakufuata, sheria hii au kifungu cha sheria...
  2. R

    GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Kwan INEC wametumia vogezo gani au sababu gan had kumzuia Mpina kurudisha fomu? Hawajatoa sababu au ndo hadi tusubiri majibu baada ya siku tano
  3. R

    Jinsi ya kujenga leo na kesho yako

    Asante sana umenifumbua ktu apo
  4. R

    Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Acha tuulize tupate majibu kisheria zaid lkn kama mdau alvyosema kama unatambulika kisheria na umejisajili BRELA akifanya hivyo ni kosa na anatakiwa akulipe kabisa au hatua za kisheria zifuatwe lakn kama haujajisajili na wala hautambuliki na BRELA kama ni m-bunifu labda wa mavaz au kazi nyingne...
Back
Top Bottom