Basi wacha Mungu mwenyewe awahukumu. Kama walishakwenda kanisani wakatubu kwa Mungu wao na Mungu wao akawasamehe we ni nani hata uwahukumu? Kwani unataka kusema kuwa we hujawahi kufanya kosa na ukatubu kwa Mungu? Au we.ni mtaktatfu mia kwa mia hujawahi kifanya dhambi yeyote? Tusiwe watu wa...
Mtoa mada ujue hao unaotaka wafukuzwe ili we uingie nao ni binadamu na wanafamilia zao wake na watoto leo hii unasubiri wafukuzwe na we uingie huoni qe una rih mbaya? Mi nafkiri ungechukua jukumu la kuwaombea ili mungu awanusuru na matazo na kwa njia hiyo mungu angekubariki. Lakin we unakwenda...
Lakini kama umetoka shule na unajua kabisa mungu ndiye aliyekuwezesha kupata hiyo elimu yako na Mungu huyo ndiye atakuwezesha kupata kaz, basi Mungu atakwenda kukupa kazi kwa njia ya mujiza. Na utashangaa unapata kazi na unapta mtaji mzuri na unamtukuza mungu. Huku wanasubiria wenzao wafukuzwe...
Mtoa mada kama ulisoma shule kuja kusubiri watu wafukuzwe kazi ili wew upate kaz,nakuhakikishia utakaa upate kaz. Utazunguka na bahasha yako miaka yote hutafanikiwa. Mana inaonekana we ni mtu mwenye roho mbaya na wivu mkubwa sana. Ukiona mtu anatoka kazn unawaza lini atafukuzwa. Badilika mwombe...
Kuhusu israeli hapo simlaumu rais, kwani amefuata magizo ya Mungu kwamba atakayembarki israeli naye atabarikiwa. Kwa hiyo alichokifanya Rais ni kuiletea nchi yetu baraka zaidi. Na tunamwomba ajitahdi sana kuweka mahusiano ya karibu zaidi na israeli ili Mungu abariki nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.