Bado naamini kupitia kwenye hili jukwaa naweza kupata mpenzi, mchumba mpaka mke mwema.
Miaka yangu 33
Nimeajiliwa kwenye wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani.
Muajiriwa serikalini.
Mimi ni mrefu,Mwembamba wa wastani na niko smart kimuonekano na kiakili.
Naomba Mwanamke mwenye sifa hizi:-
Miaka...
Una hoja lakini uwasilishaji wako una hitilafu.Wanaume wenzangu bado nashauri unapoamua kuanzisha familia Dunia ya leo,jitahidi uwe umejitafuta kwa baadhi ya mambo ya msingi.
Hadithi za wewe oa tu mambo yatakuwa poa ukiwa na mwanamke ndani hata kama hujimudu kimaisha sijawahi kushawishika hata siku moja kwa zama hizi za leo.Mkuu hukupaswa kufanya uamuzi wa kuoa kabla hujajitafuta vizuri.Mimi nimeajiliwa,nimeshajenga na hapa nafikiria kununua gari ila sijawahi...
Kuna siri kubwa sana imejificha wahenga waliposema ukitaka kuoa familia /ukoo fulani chunguza kwanza baadhi ya tabia,mila na desturi za watu husika.
Suala la kuunganisha familia linahitaji ukomavu na kujiridhisha kwa mambo mengi sana.
Naamini kuna baadhi ya tabia za kwao ungezijua kabla hata...
Unawezaje kuishi na mwanamke kama huyo ,Kama hakuheshimu maana yake atakuwa na makandokando mengi pia ambayo atakuwa anakuficha.Ukishakuwa Mwanaume maaumzi magumu yana faida sana yanapokuja masuala kama haya.
Wasifu wangu.
Mrefu
Mwembamba
Dini -Mkirsto
Kazi -Mwajiliwa serikalini
Umri 32
Situmii kilevi chochote
Natokea Nyanda za juu kusini
Awe na sifa zifuatazo
1.Mkirsto
2.Mfanyakazi/Amejiajili
3.Umbo la wastani
5.Asiwe na mtoto
6.Atokee Dar, Morogoro /Pwani kwani mojawapo ya hiyo mikoa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.