mmi ndo nakuambia,wapigue vida cm kma huamuni,mmi nilienda hadi vida shop maana nilishtua ndo cm ikapigwa makao makuu nikaambiwa mwanzo ulikuwa 5% sasahivi ni 10% piga cm voda hapo watakujibu
mfano 1,000,0000 ten % ni 100,000 hayo ni makato tu ya m pesa visa card ni gharama kubwa sana,bank sijawai tumia ndo nataka nifuatilie na mitandao mingine cjui wanakata asilimia ngap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.