Recent content by Rosely

  1. R

    Ushauri please

    Nataman sana lakini kwa huku kijijini sijui hata nianzie wapi kupata huo msaada
  2. R

    Ushauri please

    Me mwenyewe nawapenda sana
  3. R

    Ushauri please

    Nina watoto wawili yani twins wana 2 years sasa,baba yao kakataa kunisaidia kulea.naomben mnishaur nimfanyeje ili awajal
  4. R

    Mambo 10 usiyoyafahamu kuhusu kuwa mpenzi wa kike ambae ni kibonge katika maisha na mapenzi

    Ni kwel sifa zote hizo ninazo kwani hata mimi ni kibonge
  5. R

    kama ni wewe ungemuoa? ungemwacha dada wa wa2!

    Amuoe tu huyo dada kwani akumbuke hiyo mimba yake ndio sababu ya yeye kukosa kizazi chake.
  6. R

    Hodi jaman!

    Habari za saa hizi wana mmu, Mimi ni mgen jaman napiga hodi nahitaji karibu zenu pia ushirikiano wenu. Ahsanten
Back
Top Bottom