Recent content by Root root AE

  1. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Kumbee? Basi sawa
  2. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Unanipangia level ya kuajiri?
  3. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Kuna watu wanafanya bure tena kwenye MEDIA HOUSE kubwa na sio hivyo tu mpaka wanadeki na kufagia ofisi.
  4. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Ushasema natumia Google Pixel sasa unataka dogo aje kufanya nini?
  5. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Kwani mkuu wewe neno MEDIA kwako unalitafsiri vipi? Halafu kuchambua kitu cha mtu hata kabla hujakijua wala kuongea na mhusika hizo ni tabia za kike.
  6. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Mbona mnahama mada?
  7. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Duh!
  8. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Mkoa: Dar es salaam, Jinsia: Yoyote, kwa sasa bado nipo kitaifa.
  9. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Hahaha Ndo uje PM tuyajenge
  10. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtangazaji wa Michezo

    Kwema wakuu. Natafuta mtangazaji wa media yangu ya online. Media inahusu michezo, hivyo nahitaji mtu wa kunisadia kufanya mahojiano na mashabiki, preview za kabla na baada ya mechi, nk Media yangu bado changa, lakini licha ya hivyo nitajitahidi mtangazaji asikose hata hela ya maji😎 Kama ni...
  11. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Unavijua hivi vibanda?

    Process inakuwaje? Au unajiwekea tu
  12. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Unavijua hivi vibanda?

    Wakuu kwema? Hivi vibanda vinasaidia sana wafanyabiashara wadogo kuanza kujitafuta. Naomba kujua yafuatayo: 1- kwa anayetaka kununua, vinauzwa bei gani? 2- kwa anayetaka kukodi, kinakodishwa bei gani? 3- kama nikinunua nikawa nacho nataka kukiweka barabarani, process yake ipoje??
  13. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

    Safari moja huanzisha nyingine....tutafika huko someday,kwa sasa ngoja tuanze na SA vipi lakini mkuu we ushatoboa huko? Kama hutojali unaweza kuja Pm kunipa ABC za kufanya endapo nikiwa ready kwa route ya huko!!! Asante.
  14. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

    Shukrani mkuu kwa ushauri wako...
  15. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

    Shukurani kaka... pamoja sana
Back
Top Bottom