Hivi karibuni kuna iwezekano nitapata kazi nyingine as a consultant ikimaanisha kwamba sitatambulika kama muajiriwa na nitahitaji kuprocess bima ya afya yangu mwenyewe binafsi. Nahisi NHIF ina unafuu wa bei, ila sijafanikiwa kupata gharama za vifurushi za BIMA nyingine kama Strategis, AAR, etc...
Speedtest
Fanya speed tests hapo juu. But for a few reason i think you should consider other options:
Minimum required internet speed for Google Stadia is 10mbps
The lag will be too high (you need a very low ping to play depending on the game, chini zaidi kama ni fast pased game, e.g call of...
Kuna Gamer yoyote ambae ana collection ya PC games (2019 - 2020)? ninazo games kadhaa. kama tungeweza kubadilishana itakua poa. Don't tell me FIFA, GTA 5 and Call of Duty. XD
Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.