Bora tuipate tu hiyo Report tuthibitishe uzaifu uliosemwa... Maana kuna nguvu kubwa inaonekana kuficha udhaifu huo. Eti kutoa wabunge nje na kuwafungia ndio tuone BUNGE SIO DHAIFU... Noo, Udhaifu aliosema CAG sio huooooo... Watanzania tunaelewaaaaa
SOLUTION: Calculating Effective Interest on Reducing balance…
I Have a solution to Banks / Financial Institutions to recalculate / Compute effective interest on a loan (USING ACL DATA ANALYTICS)..
Contact me for consultation. 0655608282
Hapo huwa napata shida sana kuwaelewa waandishi wetu wa habari... Maswali yakooo mengiiiiiiiii sanaaaaa ya kuuliza.. Mfano Kilichosemwa na TL ni kweli au sio kweli? Je Hasara hiyo Kwa watanzania nani anawajibika? Je ni kwa nn walikuwa Kimya na wameshtuka WATANZANIA AMBAO KIMSINGI NDIO WENYE MALI...
Atakuwa kawaambia Bumbadia iko nyumbani twendeni Mkachukue.. Ha ha haaaaa... Kuna kale kamsema kanasema "AKILI YA KUPEWA CHANGANYA NA ZA KWAKO" Nakapendaaaa
Nadhani Wangetueleza kwanza nini maana Ya "KIWANDA"... Tasfiri ya Kiwanda BRELA, SIDO na Kadhalika ni ipi??? Maana nimesikia leo pia wanasema eti "biashara zilizofunguliwa ni nyingi sana kuliko zilozofungwa" nikakumbuka hata machinga, bodaboda, bajuj nazo ni biashara... Teh teh tehhhhhhh...
BASATA mlitupa taarifa kuwa wimbo wa WAPO wa Ney wa mitego hauna maadili, na hautakiwi kusikilizwa, kupigwa radioni, wala kusambazwa katika mitandandao.... JE sasa hivi umepata maadili baada ya baraka ya RAIS???? Tanzania kila kitu valu valu duuuh.. TUJADILI WADAU
Angekuwa na CHETI Chake cha ZERO hakuna ambaye angehoji elimu yake... Issue na Forgery.... Ana ZERO then kachukua cheti cha mtu kwenda kusomea Diploma... THATS THE ISSUE msitutoe kwenye MADA KUU.... I repeat, issue sio kasoma mpaka darasa la saba au form four au chuo... THE ISSUE IS KUFOJI...
1. Kwani walioosha gari la Manji kuna MTU aliwashtaki?? Mbona raisi aliliongelea???
2. Waliofukuzwa kwa vyeti feki na elimu ya uongo serikalini kuna MTU aliwashtaki polisi au mahakamani?
3. Watu walipohoji kwenye Mitandao ya kijamii Mashaka ya Elimu ya Mwigulu nchemba, kuna MTU alimshitaki...
Nachokiona mimi hapo, na kinachonipa wasiwasi ni QUALITY ya ELIMU katika vyuo vyetu.. How comes watu wasio na sifa / uwezo waende chuo na wasome wafaulu, no kudisco... Wengine kati yao wamesha graduate may be with FIRST OR UPPER SECOND... Jibu rahisi tu ni kuwa Ubora wa elimu katika vyuo vingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.