Recent content by RomboMoshi

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

    Yaani hii imetokea km kwetu wametuchezea wee! Ila Mungu ni mwema sana tuliwagundua wameaibikanvibaya mno na umasikini ndio unazidi kuwaandama bila kusahau fedheha ya uchawi! People can be so stupid sometimes.
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

    Asiejua ataona km umeongea juu juu tu ila kiukweli hili ni jambo kubwa na lipo mnoo kwenye hizi jamii zetu za kiafrica! Mtu unasoma kwa shida...unafanya kazi kwa bidii unakuja kufungiwa mambo yako na chizi mmoja kwa kofia ya undugu...mi kwangu siwataki kabisaa!
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Kabisa ni shidaa! Wanaume tuna tabu sana yaani tumuombe sana Mungu.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Omba Mungu usikutane na vimeo aisee!
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Mtoto wa mwenye nyumba wangu is my lifetime mistress... ss wanaume huaga tunazingua sometimes nakiri hilo japo kwa mtoto wa mwenye nyumba sijilaumu. Sidhani km alishawahi kujua basi tu nae alikua na agenda zake binafsi.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    [emoji23][emoji23]aisee we jamaa! Umefanya nimecheka.
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Jesus Christ! Hasara zote hizo aisee mi ningefukuza mapema mnoo...pole.
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Kumbe naongea mwanamke wa type yako?? Nilijua naongea na mtu wa maana kumbe mswahili mswahili km wewe? Nitolee stress za kusalitiwa na mmeo mpk unajua ni jinsi gani kakuchoka mpk anakudharau! Unaambiwa hili unajibu lile ilimradi unataka uonekane bingwa wa kujibu mi sibishanagi na wanawake...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Aisee! Kiukweli ni kua makini sana.
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Mbona unapanick tena?? Kwenu hamna wanaume weupe mpk wapake carolite? Mimi ni mwanaume mwenye asili ya weupe ukiangalia watu wengi tuliotoka maeneo ya kaskazini ndio rangi zetu na wife au mwanamke yyt nnaempenda mm ni mwenye rangi nyeusi au brown hivyo weupe sio priority kwangu jua hilo...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Pole kwa maswahibu ya hawa wadada!
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Umeongea kwa uchungu na kashfa juu! Anaebakwa unamjua wewe? Ila asante kwa maoni yako.
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Aisee mzee ukijisahau unaongia mkenge mbona!
Back
Top Bottom