Habarin wanajamvi, wanawake wametuzaa na kutupa raha lkn wanapoelekea wanaenda kuiangamiza dunia.
Hapa jirani yangu kuna mwanamke kaua watoto wawili wamume wake miaka 8 Kwa miaka 5, Kwa madai kua mume wake hamjali,hana habari nae,Hataki kuwa nae pamoja Mara zote anamtenga kama mtu baki, nabado...