Recent content by rombo queen

  1. R

    JamiiForums Kama kweli watumishi hamna pesa hawa wenzenu wanatoa wapi?

    nina ushahidi asilimia 100 siongei kwa kubahatisha na ndo maana nakuambia tumechoka hiki kipindi cha raisi Magufuli tunamueleza na najua ujumbe umefika na utafanyiwa kazi.na kasema tuwe wazi kwa yeyote unayeona anahujumu uchumi.niwapende nyie mapenzi hata hamjui kinawabeba pesa tu hakuna...
  2. R

    JamiiForums Kama kweli watumishi hamna pesa hawa wenzenu wanatoa wapi?

    Ni kweli unachosema kuna wengine kwa kweli hatuwezi kuwashuhudia kwa lolote kwa kuwa hatuwajui ila kuna hawa ambao tunawajua haoni shida kutoa ofa kwa watu ili ajionyeshe kwa wanawake waliopo hapo kuwa wana pesa,na kuna wengine ni wahuni mno hadi kinyaa na hao ndio wanaotumia pesa zao kutongoza...
  3. R

    JamiiForums Kama kweli watumishi hamna pesa hawa wenzenu wanatoa wapi?

    mimi sijasema waache kutuungisha biashara zatu nawasifia tu umenielewa vibaya
  4. R

    JamiiForums Kama kweli watumishi hamna pesa hawa wenzenu wanatoa wapi?

    kwanza nimekataa... nimesema sio watumishi wote wa sehemu za serikali hawana pesa wengine wanazo dio nimekupa mfano.kama huamini we nitafute kaa huku wiki tu uwaone hawa watu hawana hasara hata kutumia laki kwa siku ndo nimesema huenda malipo yao ni tofauti na hao wafanyakazi wanaolalamika.
  5. R

    JamiiForums Kama kweli watumishi hamna pesa hawa wenzenu wanatoa wapi?

    Habari. Mimi ni mwenyeji katika mji huu wa Rombo Tarakea,kweli maisha yamekuwa magumu,biashara haziendi yaani sahizi kumejaa vumbi tu.Naona kuna wafanyakazi wengi wa serikali wanalalamika ugumu huu wa maisha lakini kuna wafanyakazi baadhi ya polisi,na baadhi ya wafanyakazi wa mpakani ndio...
  6. R

    JamiiForums Msaada wa kufikisha malalamiko kwa Mh. Rais au Waziri Mkuu

    kaka mmefunga ndoa? maana kama mna ndoa sheria ipo wazi kabisa angetoka kukufuata mume wake ulipo kwa kuambatanisha cheti halali cha ndoa si kuomba kusogea karibu na hospital kwa kuwa pressure,vidonda vya tumbo havina haja ya kuishi mjini maana asilimia kubwa ya jamii ya leo wanahayo matatizo na...
Back
Top Bottom