Recent content by romana soko

  1. R

    Angalia Picha MAJAMBAZI 3 WAKAMATWA NA POLISI BARABARA YA MANDELA BAADA YA KUIBA PESA

    Ongera Jeshi la polisi kumbe muda mwingine mnafanya kazi,eti me nawaonaga mmesimama tu barabara na bunduki zenu,uku wengine wakizunguka tu mjini hapa na bodaboda kumbe mnakuwa kzn big up.:smile-big:
  2. R

    Shahidi aeleza jinsi alivyokataa kufanya ngono na Mch. Jaen (Mgeni wa Mama Rwakatare) bila Kondomu

    :disapointed:Yaani uyu mama me nilienda kanisani kwake mar1 tu kiukweli sikurudi tena,kwa majisifu sijapata kuona. Wanaoenda pale niwale wenye uwezo,magari yakifahari,nguo za gharama me kajambanane nasali kwa kakobe mwendo wa sale vilemba kwasana,Anapangishia mchungaji hotel wakati shule zake...
  3. R

    Ponda azusha mapya

    :disapointed:Kunya anye kuku akinya bata mavi yananuka.........vimewaka wakristo watuache.
  4. R

    Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

    Mambo wana jamii forum am a new member,plse tushirikiane kutoa maoni yetu kwa jamii inayo tuzunguka pamoja na serikali yetu,tuwe makini tunapochangia oja na kuandika vitu ambavyo tunauwakika navyo sio kuleteana majungu tu...:disapointed:.
  5. R

    Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

    :disapointed: He makubwa...Wema gani???
Back
Top Bottom