Recent content by Rogasian shayo

  1. R

    Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Etii ni ngojee second Tymu si ina lost
  2. R

    Naomba ushauri kwa matokeo haya

    Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne. Naombeni ushauri, nilipata division three ya 23. Nilisoma mchepuo wa sayansi na matokeo yangu ni:- Physics: D Chemistry: C Biology: C Geography: C History: C English: C Civics: D Kiswahili: D Math: F Nina ndoto ya kuwa someone ila naona ndoto inazama.
Back
Top Bottom