Kuku wa mayai wanalipa sana kwa kiasi Fulani ila unahitaji kumeteini kwenye chanjo na chakula . Kuku wa Malawi ni wazuri sana kwenye kutanga mayai na hawahitaji umakini sana kwenye kuwatuza ila chanjo ni lazima wanaanza kutanga mayai wakiwa na miez mitano , mitano na nusu, mpk 6
Wanataga mayai...
Ndio ila sikupata faida nzuri so niachana nayo kulingana sikuwa na wateja wa kutosha , mayai yalikuwa yanakaa muda mrefu kidogo so unakuta inakugharimu kwa upande Fulani kwa sasa nipo kwenye ufungaji wa kuku
Habari za muda wadau. Hivi kwanza unajuwa maana ya neno KAFIRI
KAFIRI ni neno la kiarabu lenye maana ya mpingaji kwa kiswahili. So neno la kawaida tu that is why Christian wanaitwa wapingaji cuz wamemfanya mungu katika nafsi tatu yaani baba , mwana na la roho mtakatifu kitu ambacho uislam...
7500 ni kwa jumla ama reja reja
Mm nataka kwa jumla
Ila 7500 ni kubwa sana kulingana na gharama za usafirishaji na kodi
Kodi ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar
Je apo kwel faida nipata?????
Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja
Na ombeni ushauri wema?
Je, niaze na mtaji wa kias gani?
Na je vitu itapata faida kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.