Recent content by rodrick

  1. R

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Nadhani haya yote yanafanyika kwa manufaa ya wachache tuu. Kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya Nne, wengi wetu tuliamini kwamba mambo yangeweza kubadilika na kuwa mazuri kwa kiasi fulani (to improve) kutoka hali tuliyokuwa nayo. Lakini mambo hayakuwa hivyo. Mtanzania wa kawaida...
  2. R

    East African Federation (EAF) public Views

    Ni vyema tukawa na Shirikisho, ila wasiwasi wangu ni juu ya hii "fast tracking" ya uanzishwaji wa hili shirika! Nadhani bado tuna maswali kadhaa muhimu ya kujiuliza. Baadhi ya hayo ni kama: 1. Nini itakuwa hatma ya taifa kama Tanzania baada ya shirikisho? 2. Je, sababu zilizoiua Jumuiya ya...
Back
Top Bottom