Recent content by Rodgers12

  1. R

    Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    Walizoea vya kunyonga!
  2. R

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART

    Kwa hiyo unataka watu waibe,wapore,wanatumie vibaya pesa na mamlaka waliyopewa kisha waachwe tu!Huo ni ujuha!Hakuna nchi ya aina hiyo.Labda ya JK!
  3. R

    Dr. Kigwangalla ajibu malalamiko ya wananchi kuhusu sakata la kuwafungia watumishi wachelewaji geti

    Dr Kingwangallah,sisi watanzania ni watu wa ovyo kabisa.Kwanza ni wavivu,wapenda maneno lakini vitendo zero na mwisho walalamishi sana.Kaza buti mkuu.Sisi tunaojitambua tunakuunga mkono.By the way,hivi serikalini watumishi wanazo KPIs?Kama hazipo wawekewe hizo ili kila mtu awajibike.
  4. R

    Rais Magufuli, kwa kuwa pesa za kifisadi nyingi ziko majumbani, fanya hivi

    Naona kama ni wazo zuri ila naomba kama kuna mchumi ajitokeze hapa atupe maelezo juu ya athari ya proposal hii kiuchumi.Kama hakuna athari basi tumshauri Rais alichukue wazo hili.
  5. R

    Agizo la wafanyakazi wa Serikali kutosafiri laimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola

    Umenena mkuu,walizoea hobela hobela sasa kaja mtu anayetaka order.Kama hawataki wachague kati ya safari na ajira kama wale wanne wa PCCB.
  6. R

    Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Mzee Mwanakijiji,JPM akomae na misamaha inayotolewa ovyo,wafanyabiashara wa kati na makampuni ya simu pamoja na madini.Nakwambia Sh trillioni mbili ataifikia tu!
  7. R

    Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    Sijui umekula maharage ya wapi wewe!
  8. R

    Waziri wa wizara ujenzi, mawasiliano na uchukuzi ana kazi nzito

    Kama huu ndio uandishi wetu basi kazi ipo!
  9. R

    Waziri wa wizara ujenzi, mawasiliano na uchukuzi ana kazi nzito

    Unajua wewe ni mchokozi!Watakupeleka msitu wa Pande,shauri yako!
  10. R

    Msukuma: Rais Magufuli apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa hadi 2019

    CCM katika ubora wake.Ndo maana JPM alijitenga nacho!
Back
Top Bottom