Recent content by Rocleda kapembe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tumeachana hataki nimuone mtoto, nifanyeje?

    Jamani naomben msaada m nmgeni huku jforum natuma jumbe zangu misaidie kutolea ufumbuz wa kimawazo lakini sijaz kama nmefankiwa kupost mkaona naomba maelekezo jnsi ya kupost jumbe zangu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

    Kwahyo uko mlandizi ad wauza mkaa wamtaani yaan wale wamajumban wanaouza mkaa wakupima wamakopo wanahitaji wawe na vbali ? Ama wenyewe mambo n shwari tu wanauza bla usumbufu Kwan Mimi pia natamani nifanye Io biashara ya mkaa ya Kwa kopo nasyo Kwa jumla huko mlandizi.Je na hyo pia inahtaj vbali
Back
Top Bottom