Recent content by Rockcity native

  1. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    siku moja moja bado napambana nae, na hua anatii bila shuruti :):)
  2. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Marhabaa kijana :) :) :)
  3. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hahhahh kwema lakini
  4. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    :headBang:
  5. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Amri Kiemba kwa Msemaji wa Simba Ahmed Ali juu ya Lameck Lawi

    Nadhani hujaelewa.... kiemba anamsiliba msemaji wa coastal union waala sio ahmed ally. Fatilia Instagram yake vizuri utaona nani kamuweka ktk video aliyoitolea maoni
  6. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania CHAMA LANGU PAMBA JIJI MNACHOENDA KUFANYA NI KUIGAWA VIPANDE VIPANDE TIMU

    Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo. cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice. Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya...
  7. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri...
  8. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hahahah karibu mwanza.
  9. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    HAHHHAHAH asante sana.
  10. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaha lazma kesho akae ama zake ama zetu
  11. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game za Afcon kama kawa under 2
  12. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

    Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
  13. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Labda wanangojea kivumbi cha leo kiishe, halafu washushe nyundo jumatatu
  14. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Walau leo TFF mmetenda haki
Back
Top Bottom