Pale world bank( wb) na IMF pana mchezo wa makusudi unaofanya na wayahudi wamarekan wanafanya mataifa mengine kuwa maskini.
China kama vip wangeanzisha mabenki ya BRICS
Kuna nadharia zimewapoteza binadam kifikra;
1. Dunia imetokea yenyewe by chance.
2. Binadam alikuwa sokwe(nyani tu).
3. Binadam ndio mpangaji wa kila jambo kwenye maisha (ndoto zake).
Nadharia zote hapo juu sio kweli.
Haiwezekani dunia itokee tu by chance mpangilio wa matukio ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.