Recent content by robertkomba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

    Tanzania imeingia gharama kubwa hadi sasa kwa kutumia vibaya kodi za wananchi kwa jina la katiba mpya wakati hadi sasa hakieleweki. naomba nitumie nafasi hii kuwaakumbusha pia wananchi kama haturidhiki na mwenendo wa bunge la katiba tunayo haki pia ya kupiga kura na maoni ya kutoridhika na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

    Hoja kubwa za Cdm ni kuondoa mianya ya rushwa na ubadhilifu wa fedha ....isingekuwa hivyo hawa jamaa wasingekuwa na hoja yoyote.....ndo maana wanaishia kulumbana badala kutupa hoja za nguvu za nafasi za watanzania kuondokana na bajeti kutegemea zaidi nje.......HIVI MNA FIKIRI Cdm AU SisiM wana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

    Yaani hapa huyu jamaa anamsafisha ZK baada ya kuchafuliwa na Hoja za GL
Back
Top Bottom