Recent content by Robert S Gulenga

  1. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, roho mbaya kiasi cha kufikia kurecord tu Mtanzania mwenzetu anauwawa na Wapita njia?

    Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video? Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio...
  2. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Wakati Mamlaka zinashughulikia waliofanya ukatili kwa binti asiye na hatia, Kama Taifa tuangalie udhalilishaji mwingine unaofanywa kwa Wanawake

    Ukatili aliofanyiwa Binti na wale vijana ni la kukemewa na kila Mtanzania mwenye akili timamu, Watanzania wana imani Mamlaka zinazohusika zitahakikisha binti ana pata haki yake kwa kuwachukulia hatua stahiki wote waliohusika. Tanzania kama Taifa lililokuwa na misingi mizuri ya Utu, maadili...
  3. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, ningetumia Trilioni 8 Kujenga km 5,000 za Barabara za Lami Badala ya Km 400 za SGR

    Nafikiri hauko sahihi kabisa kama utaangalia impact ya SGR itakavyoleta na kuongeza uchumi wa Tanzania kwa kufungua biashara ndani na nje ya Tanzania. 1. SGR itafika mpaka Kigoma- Mizigo ya kwenda Burundi itaweza kusafrishwa toka DSM mpaka Kigoma kwa SGR then from Kigoma inavushwa kwa meli to...
  4. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    ukataji miti bado ni janga kubwa saana chiziwafursa
  5. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
  6. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kwa kuwa Serikali ni ya watu, ipo kwa ajili ya watu, una uwezo wa kutatua changamoto ya mabonde ambayo siyo ya asili

    Mh. Chalamila- Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, pole na majukumu ya kujenga Dar Es Salaam na Taifa kwa ujumla. Mkoa wa Dar Es Salaam kwa hivi karibuni umekuwa ukipata changamoto ya baadhi ya maeneo kupata mafuriko katika mito au mabonde. Ni kweli mara nyingi Serikali imekuwa ikishauri Watu walio...
  7. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Familia ya Sativa ikatae Msaada wa Matibabu uliotolewa na Rais Samia, msaada huo ni kejeli

    Angekuwa kaka yako ungeshauri ujinga huu? Mh Rais ametenda jambo lililo jema saana, mistake kujinufaisha kisiasa na huyu Kijana
  8. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Vijana vitu viwili ambavyo huwezi kuvipoteza ni 'Ujuzi' na 'Maarifa' (Knowledge and Skills) vingine vyote vyote vinaweza kuondoka muda wowote

    Kupasua kokoto na kunyanyua vyuma, nipe tenda ya kokoto nyeupe upendezeshe nyumba yako Roca fella
  9. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Vijana vitu viwili ambavyo huwezi kuvipoteza ni 'Ujuzi' na 'Maarifa' (Knowledge and Skills) vingine vyote vyote vinaweza kuondoka muda wowote

    Ni muhimu Vijana tuwekeze saana kwenye knowledge and skills, hivi ni vitu ambavyo utakufa navyo. Wenyewe wanasema "There are only two buckets that any such Proffesional earthquake can never empty, it can never remove your knowledge and can never unlearn your skills Network yako yote uliyo nayo...
  10. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Hama hama ya viongozi wa CHADEMA inarudisha nyuma hamasa ya vijana kuupambania upinzani

    Unaongelea nini? Ideology bila watu? Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upinzani ni Political party..
  11. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ni vyema kuwa Watulivu pale linapotokea tukio na kusubiri Mamlaka husika zitoe taarifa kamili.

    Who will guard the guard s themselves? JIBU NI KWAMBA, KUNA VYOMBO VINGINE VINAWEZA CHUNGUZA JESHI LA POLISI, POLISI HAWAKO JUU YA SHERIA
  12. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ni vyema kuwa Watulivu pale linapotokea tukio na kusubiri Mamlaka husika zitoe taarifa kamili.

    Sio vizuri kutumia hisia, tumuombee apone aje atuambiee ili kama ni kuhukumu basi tuhukumu kwa haki
Back
Top Bottom