Thanks mkuu. Correct, I think pair ina-retrace sasa au ndo inarudi ilikotoka.Either way its going down. Itazidi kushuka next week maana kwa sasa ilikua at its highest point since 2015. Same applies to EURGBP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thats it. Hii pair imewaliza Seller wengi ambao hawaangalii kushoto (its history)-been bullish as heck. Last time ilikua maeneo hayo ya 0.93 ni October 2016. Na sasa ipo hapo tena na ina-test ku break hiyo resistance. So far inaonyesha kama inashindwa kupita, na hivyo tujiandae kwa safari ndefu...
Mkuu, umebahatisha :) .... wanasema "trust your analysis"....usibahatishe...nakushauri usiingie live na vocabulary kama hizo. Ukipata hasara angalia ulikosea wapi. Ndio kujifunza.
Mimi bado mwanafunzi kaka. Tusubiri darasa la Ontario then tu-team kuelekezana. Ninachofanya ni kutumia yale niliyojifunza tayari.Will use them over and over again until I'm comfortable before moving to next strategy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mkuu unanikumbusha enzi hizo tukifungwa mechi tunajipa moyo jamaa pinzani wamesaidiwa na upepo. Siku-trade news at all. Ukiangalia vizuri USDJPY kabla ya fundamental ilikua inaenda bearish either way.
Natumia tradingview kufanya analysis.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.