Recent content by rkimbuya15

  1. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Asante sana mkuu..
  2. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Asante mkuu..kuhusu maji namwagia yakutosha.. kwahyo nikiweka mbolea ya CAN nitakua nimetibu tatizo..?
  3. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Habari Mkuu.. nimekutana na hii chqngamoto.. baadhi ya mashina ya nyanya.. dawa gani inaweza kudhibiti huu ugonjwa??
  4. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi..
  5. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Asante mkuu.. Kwann idadi ya miche inapishana sana kati ya upandaji wa mstari mmoja na mistari miwili?? Na pia kwa eneo kama hilo unahitaji gram ngapi za mbegu?
  6. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Kwa eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 1000 inaingia miche mingapi ya nyanya??
  7. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Asante sana mkuu.. nimeelimika.. hiyo nyanya yako ni mbegu gani?
  8. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Umenielimisha sana mkuu.. nimefanya big mistake nilikua naondoa suckers.. ila nimejifunza sana.. next time sitarudia kosa.. nyanya zimeanza kuzaa..
  9. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Nashukuru sana mkuu..
  10. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Asante mkuu hapo nimekupata.. nimeuliza pia Eden F1 ipo kwenye kundi la nyanya ndefu zaidi ya mita1.5 au? Maana niliponunua mbegu waliniambia ni ndefu. Ila sikuuliza ni erefu kwa kias gani.. nitashukuru ukinipatia ufafanuzi. Natanguliza shukrani.
  11. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Mkuu asante kwa maelezo mazuri.. je Eden F1. Ipo kwenye kundi la nyanya ndefu zaidi ya 1.5m... maana niliponunua mbegu niliambiwa ni nyanya ndefu na sikua aware kuuliza inafika mita mangapi.. naomba ufafanuzi mkuu..
  12. R

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    Mkuu hapo sijakupata.. unamaanisha kama msimu huu ulilima ANNA F1.. msimu ujao usilimie tena hiyo ANNA F1. Ulime mfano EDEN F1. Coz ukilima ANNA F1 itaenda kwenye F2? Naomba ufafanuzi.
Back
Top Bottom