Recent content by rizzyjr

  1. rizzyjr

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Channel ni ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza,anayehoji ni mfanyakazi wa mwenyekiti ccm mwanza,anayehojiwa ni waziri na pia ni kada nguli wa ccm...wanachokijadili ni kashfa inayomuhusu kada mpya wa chadema na mgombea urais kwa tiketi ya chadema aliyehama kutoka chama cha mmiliki wa hii channel...
  2. rizzyjr

    Sintofahamu ya bendera

    Siasa za mwaka huu zmekuwa za kushindana kujaza watu mikutanoni na wingi wa bendera,lkn tuna haja ya kufahamu kuwa ayo yote hayasaidii km hatutashiriki ktk upigaji kura.
  3. rizzyjr

    Msafara wa Mama Regina Lowassa wasimamishwa akielekea Mbeya

    Kasumbua sana songea mjini yani ata ckuamini ila nili-enjoy sana kuona kundi kubwa la akina mama na wazee wakum-support mama yetu....viva cdm,viva ukawa
Back
Top Bottom