Recent content by Riziki Omary

  1. R

    Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Hii imekaaje mfn mm ninayo nyumba ya kupangisha nahitaji ikopea Ila nje na hiyo ninazo pikpiki za mikataba nimetoa kwa week na uhakika wa kipato cha laki 250 ambayo naona hiyo pamoja na nyumba ile kwa mwaka naweza ingiza mpka mln 20 ila nahitaji kukopa mln 13 au 15 ili niweze kununua tipa used...
  2. R

    Msaada juu ya mikopo ya mabenki na riba zake pamoja na vigezo muhimu vya kuwa navyo ili kupata mkopo

    Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15 Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa Life Span ya Miaka miwili au Mitatu ni ipi na kama Mtu unaeka Bond Nyumba? Rate zao zikoje na...
  3. R

    Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Hii risks profile zao ni nini ndugu? Au hao wanao pigwa mpka asilimia 17% hao sababu inakua nini? Na mfano nahitaji mkopo wa milion 15 lkn nilipe ndani ya miaka miwili na nina asset ya nyumba ya kupangisha ambayo inathaman ya milion 30. Na nikiwa nawekaga hela zangu kweny bank husika ndani...
  4. R

    Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Mfano nahitaji kuchukua mkopo wa milion 13 je nikiomba kulipa ndani ya two years riba itabaki hapo hapo kweny rate ya 13% ? Maana kama ni hvyo na hakuna additional issues ambazo zitanilazimu niongeze hela zaidi kwangu mimi mbona ni nzuri cz mm huo mkopo kwa mizunguko yangu naeza umaliza within...
  5. R

    Kuomba ushauri wa biashara ya usafirishaji mizigo kwa gari aina ya canter

    Habarini wanajamvi samahanini naomba kuuliza kidogo juu ya hili swala. Ninampango wa kununua CANTER USED ilio katika hali nzuri ili niweze kufanya biashara ya usafirishaji ambapo katika biashara mimi nitakaa kama Tandu kushoto. Sasa naombeni msaada wenu wa A,B,C juu ya hii biashara 1. Naomba...
Back
Top Bottom