Recent content by ristapita

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba uliohairishwa, sasa kufanyika 25/11/2014 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar

    Niliposikia mdaharo unakuja kesho mimi nawapenda khaki yawanyonge waliotoa maoni yao nakuchakachuliwa nimesema naondoka hapa mbeya nakuja dar nakundi langu natutaulinda mdahalo mwanzo mwisho natutawaonyesha wajinga hawa jinsi mtu anapobabuliwa ngozi. Nawaaidi kumlinda warioba mwanzo mwisho
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waliohukumiwa miaka 13 na miezi 6 kesi ya EPA wameachiwa huru

    Inauma sana ila iko siku makamanda wataufunika uwoga nakuingia barabalani kupambana hapo ndipo watawala watajuwa watawaliwa tumechoka nauchafu huu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee asambaratisha CCM Shinyanga, amnyakua Kigogo CCM Mkoa

    Hii ndio chadema usiogope ukubwa wasamaki uliza bei CHADEMA nimpango wamungu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Pafect umenena sahihi tunamngoja aje
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Unajuwa mungu anapokuwa anataka kuuwa au kuupunguza nguvu utawala filani anautia upofu nakuto kusikia ccm nawakina sitta makonda mtoto asiye riziki huyu laana ijuu yao naniwaambie wafanye wafanyavyo kwauchachuwaji huu ndio mwisho wamaccm navibaraka vyao mungu mpeujasili mzee walioba na wenzake wote
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana

    Nawaambieni makamanda hatawafanye hila yamna gani tutashinda tu wanaukawa
  7. R

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

    Wafanye wafanyavyo samwel sitta atakuja buluzwa mwiliwake mtaani
  8. R

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

    Mbeya yangu nawanachadema wetu walivyo lelewa hakulelewa kuisaliti CHADEMA kawa watoto waliopata malezi yamkono mmoja nakufanya ujinga huu hawezi tokea kwani wanajuwa maisha walionaya baada ya CHADEMA kushika jiji niwaambie mkuki haupigwi kwenzi mtasumbuka sana nambeya namtahangaika sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yagaragazwa mahakamani na Peter Kibatala kesi ya katiba

    Mungu yupo pamoja nawalio wanyonge nawapenda khaki yakweli ktk jamii ataonyesha njia
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yapata pigo, mwenyekiti wake ahamia ACT-Tanzania

    Ukitaka kujuwa niupuuzi naujinga unawezaje kutoa habari isiokamilika? Unajipa prom
  11. R

    JamiiForums Tanzania BAVICHA watoa tamko kuhusu maandamano

    Amesema vyema tusaport halaka waone moto wachadema
Back
Top Bottom