Recent content by rissou

  1. R

    JamiiForums Tanzania Post za kidato gha tano 2013 zinatangazwa lini?

    Pumbavu na wewe pia umefaulu?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    itakua ngumu kuchaguliwa kwasababu; 1.Kigezo cha kwanza kusoma advance ni kupata Div1-3 2.Kigezo cha pili ni kuwa na credit zisizo pungua tatu(yani A,B au C na sio D wala F) 3.Kigezo cha tatu rakini hakina uzito sana kama ivyo nilivyoanisha hapo juu ni Kubalance Comb Ushauri wangu:kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Haki ipo wapi?

    Nina ndugu yangu aliyemaliza kidato cha nne,matokeo yake ya awali yalikua ni Div4 ya 28.Matokeo mapya yakaja Div4 ya26 Rafiki wa huyo ndugu yangu awali alikua na 4 ya 31 sasa ana Div3 ya 24 NAOMBA KUJUZWA VIGEZO VILIVYOTUMIKA HAPO NA NECTA
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

    Heshima kitu cha bure jiheshimu ili nawe uheshimiwe
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

    Yani we acha tu mkuu apanilipo tumbo joto
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wana jf tuzingatie sheria za uandishi kwenye post zetu.

    Kipofu anajalibu kuwaongoza vipofu wenzake kwa uwandishi huu mmmmh.!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna wizi umetokea benki kuu

    Laiti kama tungekuwa tunacopy na kupaste mpaka kwenye ujuzi wa aina flani basi wa Tz tusingeujua umasikini INSHORT BRO UMECOPY NA KUPASTE from Fb
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mulugo na professa wa chemistry!!

    Ba+Na??????? mmh labda mie kwakua sio Profesa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Kuponya Sehemu za Siri - Wanawake

    Ukiipata na yety sisi mababa tuletee
  10. R

    JamiiForums Tanzania Filoliasis

    habar zenu wana Jf polen kwa majukumu,mimi tatizo langu ni miwasho sehemu za siri, tena tatizo hili ni la muda mrefu(miaka miwili sasa),baada ya kumuona daktari na kufanyiwa vipimo nmegundurika nina ugonjwa huo.lakini matibabu sikuwahi kupata..Naomben msaada wenu juu ya tatizo hili maana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kuulza

    nawashukuru wanajamvi wote kwa mchango wenu lakini bado amjaniambia kama naweza kuchaguliwa kwenda advance au laa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kuulza

    poa mkaka nashukuru kwa mchango wk
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kuulza

    Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je naweza kwenda form fve؟‎ kama naweza kwenda wanaJf mnanshaur nn niende A-level au niapply chuo?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jokes,utani na udaku

    tena mwambiee aangarie box lnyw lsiwe jeuc lnaweza kuchafua jokes/utan
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tambua hili leo!!!!

    hahahaha true budy
Back
Top Bottom