Recent content by Rip parents

  1. R

    Kumsifia Binti wa kazi ni kosa akina mama?

    Hahahhh Aksante! Ilinikasirisha hasa hasa! ...........
  2. R

    Kumsifia Binti wa kazi ni kosa akina mama?

    Soma tena! Utaelewa! Yaaani yeye anashinda chumbani kwake anacheza na simu muda mwingi ,anaamka SAA mbili, anakunywa chai anarudi chumbani kwake,.........we soma tu utaelewa , Kama hautaki pita kimyakimya
  3. R

    Kumsifia Binti wa kazi ni kosa akina mama?

    Hahahaha Hahahhahja Hahahaha Hahahahhah Mie alikuwa anamsifia eti anatunza watoto! Watoto wakaninongoneza kuwa kazi nyingi wanafanya wao baba anawapangia! Nikisema sana atanigundua bureee,hakosi kupitia humu nikamtimua fasta! Ukisifia mwisho utataka kuonja na vingine! Na wakisifiwa wanakuwa...
  4. R

    Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Ebu nikuuuulize! Huwa mnapima wapi huo uadilifu kama mnao uliosemwa kwenye andiko mpaka mkajiona mnaweza kuoa 2/3/4. Na si mmoja?
  5. R

    Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Umekurupuka Soma tena hapo kama nimekoti andiko!
  6. R

    Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Ilaa bwaaaana ... Usisikie mke mwenza! Hata uwe wa pili akiletwa wa tatu huo uchungu wake wa kihisia acha kabisa ,waweza kufa gafla au taratibua! Ni kama mwanaume anapogundua mke anachiti na MTU Fulani na kufikiria kuuwa!! Mbaya zaidi, men wengi huoa kama adhabu kwa mke au wake waliopo,ndio...
  7. R

    Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Yaaani umeongea Mkuu! Si kazi ndogo! Wengine wako Marion Wanawake ndio wanalisha familia mume yuko yuko tu kama baba!
  8. R

    Ni ngumu mwanamke kukataa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi

    NiliwKataa wawili! Niliamini wataninyanyasa sana na familia yake ya kitajiri! Lakini hata masikini wakipta matako ..........
  9. R

    Nadhani ni bora kutokuoa kabisa kuliko kuwa na mke dizaini hii

    Sema tuuu! Haina uhusiano na mada! Ila aksante sana kwa pole!
  10. R

    House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    Yaaani wananikera sana! Uchafu na uvivu toka majumbani kwao! Ndio maana midume inanuka sana hapo kati kwenye daladala utajuta akishika BOMBA karibu yako! Uvundo! Wamama wafundisheni, watoto wenu kujihudumia bado mapema, ni mizigo wakikua kwa familia zao! Kwani mke mtumwaa! Khaaa! Kutafuta...
  11. R

    Nadhani ni bora kutokuoa kabisa kuliko kuwa na mke dizaini hii

    Umeishiwa , Pole sana! Madada zako wamejaaa kibao mtaaani na rangi za chungwa, wa bure hata dahwaa hutoi! Wewe unawaza doll, unalaaana, watu kama wewe usijenge kwenu utakuwa fala daima Watu kama wewe nauza hata boxer nanunua cement , Pptyuuuuu
  12. R

    Sehemu ambayo mwanaume hupatwa huzuni mkubwa kuliko

    Nooo! Panda na hali Mkuu! Mvumilie kwa hili,atakuvumilia kwa jingine kubwaaa!
  13. R

    Nadhani ni bora kutokuoa kabisa kuliko kuwa na mke dizaini hii

    Wanaume wabifsi sana linapokuja suala la kusaidia familia ya mwanamke! Iwe misiba, maradhi, harusi na mengine mengi! Unakuta mwanamke ndio pekee amesomeshwa kwao wewe umepata ready made, anakazi nzuri,,lakini unambania asisaidie kwao,kwenu kila mwezi unapeleka fungu. Hapo...
Back
Top Bottom