Recent content by Ring of Gyges

  1. R

    Operation UKUTA dalili za mapinduzi?

    Bila ya msaada wa nchi za magharibi, NATO, hakuna nchi yeyote, iwe Tunisia, Egypt, Libia, Syria, Afghanistan, Iraq. Kooote Huku, hakuna wananchi bila ya msaada toka nje mnaweza Fanya huo ujinga, wadanganye vipofu
  2. R

    Deni la taifa kuongezeka kwa trilion 23 ndani ya muda mfupi wa utawala wa awamu ya 5!

    Mkopo kwa ajili ya shughuli za Maendeleo sio mkopo wa kulipia vikao vya bunge la katiba 300000/ kila mtu. USA inaongoza duniani kuwa na deni kubwa la US $ 889billion Lakini Ni kwa ajili ya shughuli za Maendeleo
  3. R

    CHADEMA/UKAWA wamehaha

    Kuna wapiga deal za SUKARI TOKA NJE MISHAHARA HEWA MAKONTENA BANDARINI VYETI FEKI VYUO FEKI WAFANYAKAZI HEWA WAPAMBE WA LOWASA WAKWEPA KODI, walikuwa wananufaika Sasa mambo Hayo hayapo, wanachofanya Ni kuhakikisha kuwa JPM anaonekana hafai kwa sababu ambazo hazina miguu wala kuchws
Back
Top Bottom