Wengine wanaonekana awahufaamu vizuri huu mchele(ebu mgoogle neno PARBOILED RICE). Alafu jaribu kufuatilia ili huelimike zaidi juu ya Biashara hii.
NB: KUHULIZA SIO UJINGA BALI NI UELEVU.
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na utahupeleka kwa mlaji kwa Sh. 2,000/=, kwa hiyo kijana utabakia na Sh. 400/=. Haya vijana juhudi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.