Recent content by Right eye

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Unaandikaga kama upo kwenye gari aina ya chai maharage iliyopo kwenye rough road lakin umeeleweka..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

    Barcode kama yale machujio ya pombe aina ya kindi au kimpumu..
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bob Junior yuko hoi na kakosa pesa za matibabu?

    Ana umuhimu ndio maana kuna siku yake inaitwa Bob Marley day..
  4. R

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute kocha mwingine Folz sio kocha

    Ramli chonganishi..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute kocha mwingine Folz sio kocha

    Zee la gundu vip kwa Gamond?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Kuna chizi moja linamuamini sana huyu mzushi wewe uliona wapi mchezaji katia saini wakati bado ana mkataba tena wa miaka miwili..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Washamtangaza kwan?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Nafikiri comment hii wataiona na itakua tahadhari kwao..
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Tazama vizuri goli la pili utagundua jamaa ana kasi na akili nyingi za kuwatoroka mabeki kwenye kumi na nane..ule mpira ulivyopigwa kwa mshambuliaji wa kawaida asiye na speed asingefunga lile goli..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Unajua ulichokiandika Kweli? au unaleta ubishi wa kiponjoro tu..
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Tazama mechi zao ukipata nafasi jamaa ni mzuri sana anavaa jezi namba tatu mgongoni..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Yeah yupo jana alifunga goli mbili katika ushindi wa goli mbili kwa moja kati ya Angola na Zambia..
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Lakini ni msumbufu na ana kasi ya hatari inabidi maandalizi yaanze mapema ya namna bora ya kumdhibiti..
Back
Top Bottom