Recent content by Rick Rick

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu huna mpango wa kuwatembelea wananchi Vijijini?

    Mmh sio kwel ndege haina shida kabisa hata kama unaugonjwa wa moyo labda wakati wa kupaaa kidogo huwa inashitua maana inakuwa bado haijatulia angani ila JPM alipenda kutumia gari ili ajionee kero za wananchi wake
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Mama kisha toka kwenye natali mda tyu ni bola angefuata nyayo za mtangulizi wake jpm kwani alifanya mengi mazuri ila akija na mbinu zake kuonesha yuko tofauti nchi itamshinda zaidi hata walio andika gazeti la UHURU hawajakosea wana akili timamu itakuwa wamepata hizo tarifa sehem husika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

    JPM alifanya mengi mazuri na yalikuw yanaonekana hata bila promo za wanahabari tena kwa mda mfupi ndio maan wanaharakati wengi walijitokeza kumsupport kwa nguvu zao zote
Back
Top Bottom