Recent content by Rick Joe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma ni lini mtaandamana kumpongeza Rais kwa kuboresha maisha yenu?

    Siku atakayomfuata Ivan the don. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitangulia mbele za haki mtu unapaswa kujiuliza kama unastahili kuwalilia

    Wa kwanza sizonje. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ngeleja adai TRA kurejesha mil.13 alizolipa kodi kutoka kwa mil.40.4 za Escrow

    Chamba sana, shika nnya. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Moshi yaruhusu kilimo kuendelea kwenye shamba la Mbowe

    Wewe unakijua chanzo cha mto Weruweru? Kama hikijui kafanye utafiti kwanza. Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya mh Lema, Rais Magufuli hana mpinzani ndani na nje ya CCM hadi 2040

    Lema amesoma tu alama za nyakati. Ukitaka asikuweke mahabusu umsifie tu hata akifanya utumbo.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

    Mtwara walishamchomea kibanda chake, hakanyagi huku ila kwa esort ya jeshi na TISS.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

    Muongeze Kesy na Mwakyembe.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Na wewe unaamini hiyo stori. Mimi naamini ni propaganda ili jamii iamini kwamba askari wapo kazini.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Isiwe SMG ni za polisi, kwa nini wasimwache hai japo mmoja? na walikuwa sita wawili wako wapi? Najaribu kuwaza kwa sauti tu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

    Aliye na siha ni yule aliyekunywa kikombe cha babu wa Loliondo?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

    Ni kweli kwa sababu hakuna sababu za watu hawa kuwekwa kizuizini muda mrefu hivi bila kufikishwa mahakamani. Hii si sawa kabisa.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

    Kwa alivyomwerevu mtoa post anajua hata sababu za yanayotokea Kibiti.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya Mbowe kukacha vikao vya Bunge hususan maswali kwa Waziri Mkuu?

    Acha unafiki, mwenyekiti wako ni " ulevi."
  14. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Vita ikiongozwa na Jemedari mwenye "Maarifa Nusu" ni vita ya kushindwa

    Kauli hiyo inatoka kwa mwenye akili au mwehu?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Vita ikiongozwa na Jemedari mwenye "Maarifa Nusu" ni vita ya kushindwa

    Mtu mwenye akili hawezi kulala na mdogo wa mkewe.
Back
Top Bottom