Recent content by richiesm

  1. R

    Wauza laptop tukutane hapa

    Bado ipo??
  2. R

    Ushauri kwa Serikali: Isizuie wananchi kuuza mazao nje ya nchi

    Napenda kutumia fursa hii kutoa maoni yangu kwa serikali nikiwa ni mwananchi wa kawaida na mkulima hasa kwa kuzingatia maagizo aliyoyatoa Mh. Waziri Mkuu akiwa huko Moshi. Kwanza kabisa ieleweke kuwa kwa sasa shughuli za kilimo ni kazi na biashara kama zilivyo kazi nyingine ama biashara...
  3. R

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Heshima kwenu wakuu! Nimekuwa nikiwaza muda mrefu kuanza biashara ya kilimo. Ninaipenda sana japo sijawahi kuifanya. Nimetamani kuanza kununua mazao ama kwa kuyauza moja kwa moja au kwa kuyatunza katika ghala ili niwe nauza baadaye bei ikiwa nzuri. Ninao mtaji kidogo kwa kuanzia lengo ni ili...
Back
Top Bottom