TAARIFA!⚠️
NIMEPOKEA SIMU SASA HIVI KUWA MWANAMUZIKI NA MWANAHARAKATI, KAKA YETU VITALI MAEMBE (Namba yake) AMEKAMATWA NA POLISI JUMANNE JIONI WIKI HII
WALIMUITA KITUO CHA POLISI BAGAMOYO DUNDA AKARIPOTI.
ALIPOENDA JIONI HII NA KUFIKA PALE WAKAMUWEKA NDANI..
WATU WALIOKARIBU WAKAENDA...
Leo Watanzania mnasherekea mkopo wa IMF na kufurahia maekekezo tu kuwa tunakwenda kumaliza tatizo la vyumba vya madarasa na wasimamizi ni wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya chini na watendaji. Lakini tujue maeneo mengi ya nchi yamejaa upigaji. Na wapigaji ni wasimamizi wenyewe.
Shida ipo hapo...
Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi!
Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania
Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia;
---
NIPASHE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.