Recent content by RICH OIL SHEIKH

  1. RICH OIL SHEIKH

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    KAmuadithie marehemu babaako We mb*a tumeona Kila kulichotokea
  2. RICH OIL SHEIKH

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Leo nimeona Kwa nn Tz ni maskin, tunaongozwa na CCM yenye wabunge wapuuzi Wenye upeo mdogo sana, ni bora madereva wa boda boda wanaweza Kuwa na upeo kuliko kina Chombo,lusinde na Yule mama.
  3. RICH OIL SHEIKH

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    WAbunge wa ccm wanaochangia wamejaa kamasi kichwani BadAla ya brain
  4. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    We kilaza umeniquote hapo juu nikimcheka bibi mwenzako Faizafoxy alivokuwa anakejeli watu Wanataka Umeme wa bure, huajnielewa kilaza ukadhani nasapoti wizi wenu, Boya ww
  5. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Kwaiyo mna cag wenu mwingine analeta report ya pili au mnakujames kupinga maprndekezo ya pac. Maji yashamwagika bibi Yangu. Bado kulifukua jambazi kuu profesa la Beijing
  6. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    "Mlitaka mpewe Umeme wa bure" Teh Teh hata wajukuu tunaona bibi Bomba ni kilaza wakutupwa
  7. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Sasa mnajipanga kumjibu nani, cag au pac, pac wao wamechambua taarifa ya cag na kutoa mapendekezo. Au wenzetu mna cag wenu mwingine anaandaa report ya Majibu. The demage is done already, Pinda wa Jana si wa Leo admit it.
  8. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    We kilaza umeambiwa mchakato mzima ni tapeli mtupu,documents Za kufoji etc. Pap/iptl haikutakiwa kulipwa chochote Kabla ya uamuzi wa court ya kimataifa iliyoshugulikia mgogoro huo.
  9. RICH OIL SHEIKH

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    We Jamaa ni kiaz kweli mwanzo jAna ulikuja na nyimbo Za zuio la mahamama report haitasomwa- report ishasomwa unaleta story za MWizi muhongo kesho Kuja na revenge, usichoelewa ni ninI: PAC wamechambua taarifa ya CAG na kuitolea mapendekezo kwahiyo Huyo muhongo anakuja kupinga taarifa ya CAG au...
  10. RICH OIL SHEIKH

    Nawapongeza Mh. Ally Kessi na Mh. Shabiby kwa ujasili wao

    Huwa wananichekesha sana hao wanafiki, mwishoni wakiulizwa wote hujibu ndiooooo
  11. RICH OIL SHEIKH

    nauza simu zifuatazo..

    Nikupe laki hiyo huawei
  12. RICH OIL SHEIKH

    Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    Ismail Jussa anaonea sasa. anasema wanapokuwa kwenye baraza la waw kilishi wote bila kujali vyama wanatetea uzanzibari, lakini kufika dodoma wenzetu wameufyata. anasema alimuuliza mwenyekiti wa bunge siri ya wajumbe kutoka znz kuufyata wakifika dodoma. Jusa anasema...
  13. RICH OIL SHEIKH

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Trh 25 Aprili 2014 - Kubadili tena kanuni

    Yaani hawa jamaa wanaweweseka ndani na nje ya Bunge. Wamezoea kuohonga Rushwa ila huyo Jmaa wa CCK kawakomesha.
Back
Top Bottom