Recent content by Rhoy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Acha kutoa sababu zisizo za kweli…acha kujifanya wewe ndio muhanga…watu wanakwambia ukweli kuwepo kwenye hali ngumu ya maisha sio sababu ya wewe kuwafanyia watu ivi…….acha bwana kufanya ivi kama hautaki kumsaidia mtu kwa upendo pita tu kimya kimya kwasababu msaada sio haki ya mtu……..ivi unafanya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    MUNGU AKUBARIKI ZAIDI NA ZAIDI KWA WAKATI WAKE SAHIHI………HAUTUJUI UNGEWEZA KUPITA KAMA UPEPO LAKINI UMECHAGUA KUTUSAIDIA…..WENGINE HATUNA CONNECTION LAKINI NINA HAKIKA KWA MSAADA WA MUNGU KWA KUWATUMIA WATU KAMA NYIE TUTAPITA….ASANTE SANA🙏🏽
  3. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Ngoja waitishe interview ndo tuje maana unaeza lipia 15k na wasikuite interview
  4. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Lakini io sio sawa kwa sababu hamna uhakika wa kupita ata ukimpa io 15k me siezi jiunga kwa group na hela…Kama MUNGU ameniandikia kupata izo kazi nitapata ata bila connection
  5. R

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Jamani kuunga tu group la kujadili maswali ambayo yanaweza kutokea tukupe hela???! Kwani tukikupa io 15k ndo tumepata kazi??! Mtu anatafuta kazi anaangalia namna ya kujiandaa tena wewe unasema aje na 15k🙄🥹🥲aisee tusaidiane tu sisi wengine mayatima maisha yetu sio mazuri MUNGU akisaidia tukipata...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ku fail kwa application ajira portal

    Anhaa sawaa apo nimeelewa kwamba wanataka community development tu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ku fail kwa application ajira portal

    Anhaa social work haihusiani na community development??!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

    Wako na matawi all over the world sababu ni program ya online university na kwa kila nchi wanachkua watu wa io nchi sio kwamba na kwendaa huko US kufanya kazi… kazi naifanyia hapa hapa tz ila mshahara ndo unatoka huko ata na ivo nishaachana nao😅
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ku fail kwa application ajira portal

    Habari za wakati huu… Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed, Ni social work haiusiani na community development...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

    Nikupe account namba unitumie hicho kijisenti ili tuone kama ni matapeli au laah?!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

    Yan nitume io ef50 na point ndugu weee😅😅
  12. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

    Io bank makao makuu yao ni huko marekani na wana app lakin ninayoipata mimi wanasema sio ya kuweka hela sjui kwaajili ya traveling expenses Sema ad saa hii am out ntapataga kazi zingine
  13. R

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

    Niliombea website inaitwa Tanzajobs ata ukienda sahii nazani utakuta ilo tangazo la kazi za western governor university
Back
Top Bottom