Recent content by rhoda ryoba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa mihimili yote mitatu ya serikali

    Hapo mwanzo nilidhani mhimili wa bunge ndio mbovu kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kama asemavyo CAG mstaafu kuwa bunge letu ni dhaifu, taarifa za CAG kila mwaka zinathibitisha kuwa hatuna bunge makini ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo, Bunge hili limeshindwa kutunga sheria makini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    We msenge zimefanyika reforms Gani, unatuona matako Yako, kakojolewe na mabwana zako ccmpolisimahakama manina zenu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

    Watu wenye akili hamuhitajiki nchi hii
  4. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

    Sio anyongwe bila kusikilizwa, maahirisho yapunguzwe kesi ziwe na muda maalum, mwezi mmoja uwepo ushahidi, utetezi na hukumu zitoke mapema
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

    Nadhani ungeongelea na upande wa madeni, kwasasa deni la taifa ni over 112 Trilioni.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za uendeshaji kesi ya TAL

    Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

    Polisi WaTanzania ni watu wasiokuwa na ueledi, badala ya kuzingatia katiba wao wanafuata maelekezo yanayopinga katiba, kimsingi ni kundi la watu wajinga
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi, picha ya kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia awamu ya Kwanza kilichoketi leo

    Hakuna namna ya kumblock huyu msenge Mwashambwa ili nisione post zake za uchawa
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Kumbe wewe ni shoga, unafurahia mwanamke kunyanyaswa, uchama wako unakusaidia nn?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Yaani kuitoa CCM madarakani ni kazi ngumu sana, labda CCM ibadilike yenyewe

    Serikali ya CCM ni ya kidikteta hivyo haipo tayari kuachia nchi kwa namna yoyote
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

    Uchaguzi huo ambao matokeo yanajulikana utagharimu Tsh Trilioni moja
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afrobarometer: Rais Samia atashinda Uchaguzi akigombea na yeyote kwa 83%

    Sio ata Sio atachaguliwa, ameshajichagua kwasababu tume ya uchaguzi ni ya kwake, hata tusipo piga kura nchi nzima atashinda
  13. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia akiagana na Viongozi wa Kijeshi kabla ya kuelekea nchini Comoro alikoalikwa kama mgeni rasmi

    Sipo kwenye siasa zenu za kishenzi naongelea kinachooneka kwenye picha.
Back
Top Bottom