Recent content by rhoda petro

  1. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Nataka nichukue mzigo nje ya Tanzania

    Kama kichwa kinavosema, Jamani wahangakaji wezangu mimi sio mjasirimali ila nataka niaze biashara ila nataka mzigo wa biashara nichukulie nje ya Tz. Nikikuwa naomba jinsi gani mnaweza kunisaidia ili nipate kufanikisha suala hili nitangulize shukrani, ahsante.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Anza mradi wa kuku kwa TZS 300,000 tu

    nmeukubali Sana huo mchanganuo mpaka nmeshawishika kuaza kufuga kuku
Back
Top Bottom