Recent content by Rgrs Nd

  1. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    N htr bro saa hz ukipost thread inapotea afu unaambiwa eti inapitiwa na moderators🤔
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Utapata tu jitutumue 🥶🥶
  3. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Title na kuondolewa vinahusianaje sasa tunachohitaji kujua ni Kwa Nini zinaondolewa na wakati wanahitaji zipigiwe kura....Confusion🤔🤔!!!!!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Mimi sizani kuziondoa Ina maanisha vibaya kwani hata thread yangu niliyopost wameiondoa haikumaliza hata dk 1 Wacha tusubiri labda wabobezi wakipost zao zitaachwa🙌🙌
  5. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Yeah ipo hivyo hata baadhi ya post ukireply Ila SEMA hii baada ya kupost thread inatoa taarifa kuwa haionekani Kwa umma hawajasema kuwa utaiona wewe peke yako tofauti na utakaporeply thread yoyote, hivyo itakuwa moderators wanapitia maudhui
  6. R

    JamiiForums Tanzania Elimu nchini Tanzania

    UTAANGULIZI Kwanza kabisa tunapaswa kuelewa tunaposema elimu tunamaanisha Nini?Inaweza kuwa tofauti na unavyofikiri Lakini maana halisi ya elimu tunasema ni taarifa zilizo rasmi ambazo Huwa zimebeba maudhui yenye kulenga kuboresha zaidi au kupunguza kama sio kuondoa kabisa madhara...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    ID ndo Nini sijawaelewa wakuu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Nitashiriki.......✍️
  9. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Atuachie bhana sisi...😅😅
  10. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Exactly..💪🏾💪🏾
  11. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Exactly....impacting the changes
  12. R

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Maana ya shindano ni lazima mshindi apatikane na ni lazima kuwe na limit hivyo kulalamika sio tija kinachopaswa ni kuona umuhimu wa kuwa miongoni mwa washiriki tu Kwa kuandika nakala yenye kuelimisha na kuleta ufumbuzi Katika nyanja tofauti tofauti
Back
Top Bottom